Kocha Mkuu wa Tabora United, Genesis Mang’ombe amesema hatakubali kuwa mnyonge na kuruhusu kikosi chake kucheza mchezo wa nne ...
LICHA ya Stand United 'Chama la Wana', kuchapwa mabao 2-0 na Mbeya City Machi 30, 2025, kocha wa timu hiyo, Juma Masoud amesema kichapo hicho kwao hakijawatoa katika mbio za kuwania tiketi ...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mbeya (MWFA), Atupakisye Jabir, amefariki dunia leo Aprili 3, 2025 ...
Harakati za kujinasua mkiani kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa KenGold baada ya kukumbana na kipigo ...
Mtibwa Sugar kwa sasa inahitaji pointi tisa tu kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuteremka msimu uliopita.
Wanasheria wamekuwa na mitazamo tofauti katika sakata la kukamatwa Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe huku wakigusia kilichowahi kutokea Mkuu wa Idara ya Habari wa Simba kwa Ahmed Ally.
KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Robert Matano amesema kipigo ilichokipata timu hiyo na kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Singida ...
KIWANGO bora kinachoendelea kuonyeshwa na Yanga huku ikipata ushindi mfululizo ugenini na nyumbani, imempa jeuri kiungo ...
KATIKA hesabu za Simba kuhakikisha inachanga vizuri karata zake na kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, ...
LICHA ya KenGold kuendelea kuwa kwenye hatari ya kushuka daraja haijawa ishu kwa kiungo Zawadi Mauya anayeamini bado timu ...
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amezidi kupata pigo kwa orodha ya wachezaji wenye majeraha kuongezeka huku mechi ya robo ...
BAADA ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate, Kocha Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesifu juhudi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results