Maadhimisho hayo yamekwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo wa kidijitali wa anuani za makazi (NaPa) jijini Dodoma.
Nimegundua waalimu huolewa haraka sana. Na pia huolewa kwa wingi tofauti na fani zingine. Waalimu wana upako wao na ndoa.